welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Saturday 11 October 2014

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.

Msalaba
 Sehemu ya waombolezaji. 

  Waombolezaji na wafiwa
 Watoto wakkiwa wenye huzuni
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI»
 Huzuni
Mjane wa marehemu Bi  Getrude Shija mara akiwa na waombolezaji nyumbani Kibamba
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
 Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ulipelekwa nyumbani kwa marehemu, Kibamba. (Picha na Prosper Minja - Bunge)

 Askari wa Bunge wakiwa wameubeba mwili wa marahemu Dkt Shija
  Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ukiwasili  nyumbani kwa marehemu, Kibamba jijini Dar es salaam.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
 Nyumbani kwa marehemu Kibamba. Picha zote na Prosper Minja - Bunge

No comments: