welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday 10 October 2014

JAJI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) SINGLE MTAMBALIKE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI USIKU WA KUAMKIA LEO

Single Mtambalike 'Richie'.
MSANII wa maigizo na filamu nchini Na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba upo Tabata, Dar.

Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake kwa kuondokewa na Mzazi wake. TMT na Proin Promotions inaunga nae katika Kipindi hiki kigumu 

No comments: