welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday, 14 October 2014

MTU MZIMA SNOOP APPEWA ZAUSO LIVE NA MDADA IGGY AZALEA MTANDAONI

Iggy Azalea hajapendezwa na utani wa Snoop Dogg. Hivi karibuni, Snoop alipost picha ya utani (meme) kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mwanamke albino na kuandika: “Iggy Azalea No Make Up.”
Iggy hajafurahishwa na utani huo na ametumia Twitter kumwambia ukweli.
“Kwanini upost picha ya aina hiyo kwenye Insta wakati huwa unawatuma mabodyguard wako kuniomba tupige picha kila mara tunapokuwa kwenye show pamoja?” Iggy alimuuliza rapper huyo mwenye miaka 42. “Mabodyguard wangu walisimamisha gari la zima moto lililookoa maisha ya rafiki yako huko Canada ambapo kidogo tu aungue kwenye hoteli,” Iggy aliongeza.“Na kila muda niliowahi kuongea na wewe umekuwa mtu mzuri mno, nimefedheheshwa unaweza kuwa mtu wa aina hiyo bila sababu.”

No comments: