welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday 12 October 2014

KAJALA AKANUSHA KUMSHTAKI MAMA WEMA SEPETU.

Kajala ambaye amesema yupo busy na kazi zake binafsi, amefunguka kuwa hana ugomvi wowote na Wema kama watu wanavyozusha. “Hapana sijamfungulia mashtaka yoyote Mama Wema.

Wema na mama yakeSiwezi kufanya kitu kama hicho mama ni mzazi, mzazi kama mzazi huwezi ukasema umrudishie kitu,” amesema. “Mzazi anaweza akakutukana akakufanyia nini lakini still atabakia kuwa mzazi. Sina ugomvi wowote na Wema, hayo mambo sasa hivi hayapo ni kazi tu.”

No comments: