welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday 12 October 2014

BREAKING NEWZZ: MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU AJICHOMA KISU


Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.

No comments: