welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Saturday, 11 October 2014

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAMA NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti  na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.    Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti  na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia. Aliyeko kulia ni Bi. Suzan Mkapa, Mkurugenzi wa sheria kutoka Wizara ya Fedha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.    Servacius Likwelile  na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti  na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia, wakibadilishana mikataba hiyo baada ya kutiliana saini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.    Servacius Likwelile  na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti  na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia, wakiionyesha mikataba hiyo kwa waliohudhuria sherehe hiyo  baada ya kutiliana saini. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.    Servacius Likwelile  na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti  na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia, wakicheka na kugonga kwa furaha baada ya kukamilisha shughuli ya kusainiana mkataba wa kuweka mradi wa maji  wilayani  Same na Mwanga.   

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA FEDHA


nembo 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

WILAYA YA SAME NA MWANGA YAPATA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 56.10KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA UCHUMI WA KUWAIT.

KatibuMkuuwaWizarayaFedhanaMlipajiMkuuwaserikaliDr. ServaciusLikwelile,mchanawaleoametilianasainimakubalianoyamkatabawakuanzishaMradiwaMajikatikaWilayaya Same naMwanga. Dr. LikwelilealisainiMkatabahuokwaniabayaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa Tanzania naMfukowamaendeleoyauchumiwaKuwait .AliyewakilishaMfukohuoniBw. Abdulwahab A. Al- Bader  ambayeniMkurugenziMkuuwaMfuko.
AidhakatikakutilianasainiMkatabahuo Dr. LikwelilealimuelezaBw. Abdulwahab A. Al- Baderkuwa, Serikaliya Tanzania inatambuakuwamfukoumetoaDolazaKimarekanimilioni 34.0 sawanashilingiBilioni 56.10 zaKitanzaniakwaajiliyakusaidiamradiwamajikatikaWilayaya Same naMwanga. Hivyoinatoashukranizakezadhatikwanchiya Kuwait nahasakwamfukohuuwamaendeleoyakiuchumi.
“MsaadahuutulioupataleoutaisaidiaSerikalikutatuatatizo la majikatikawilayaya Same naMwanga, hiiinaonyeshanijinsiganimfukohuuwa Kuwait unavoungamkononakutekelezajukumuzima la kushirikikatikamasualayakijamiinayakiuchumikwanchiyetuya Tanzania, hivyotunaombamuendeleekutusaidia”. Alisema Dr. Likwelile.
Dr. LikwelilealimuelezaBw. Abdulwahab A. Al- Bader kuwa, kamaanavyofahamugharamazamapendekezoyamradimzimaniDolazaKimarekani  million 110.43 nahiiinahitajiuchangiajikutokakatikamifukominginekama BADEA, mfukowamaendeleowaSaudia , MfukowaKimataifawa OPEC  naSerikalikuchangiafedhakusaidiamradihuu. Kwa hilisinawasiwasi nalo kwanininafurahakujuakwambaumeshakubalianananinaujasirikuwajitihadazakozitafanikiwa.
“Mradihuuwamajiwqwilayaya Same naMwangaunalengakusaidiakuwepokwamajikwenyejamiimbalimbalizilizopokwenyemradihuo.” AliongezaDr.Likwelile.
Aliendeleakusemakuwa,mradihuoutakapokamilika:
(i)                 utaongezakiwango cha watuwengikuwezakupatamajisafinasalamayakunywa.
(ii)               Uchumiwa Same naMwangautaimarikapamojanahaliyaafyakwajamiinayoitakuwaimarahasakwamaeneoyaleyanayoguswanamradi.
(iii)              Hali yamaishayawatuwa Same naMwangaitainuka.
“Mafanikioyaukamilishajiwamradihuunimuhimusanakwauchumiwajamiinamaisha bora kwawatuwawilayaya Same naMwanga”. AlisemaLikwelile.

Dr. Likweliliealimaliziakwakusemakuwa“Tanzaniana Kuwait nimarafikiwamudamrefusana, hivyotutazidikushirikiananakuhakikishakilakitukinaendasawa”.
Hali yahewayamjini Washington Dc. nimvuazavipindinabaridikiasi.


Imetolewana:
IngiahediMduma
Msemaji
WizarayaFedha
Washington D.C
11/10/2014

No comments: