welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday 30 September 2014

PEPO LINAZIDI KUPEPEA

                                          Rose na baby akeeeDaah sijui tunaumalizaje mwaka jamani, list inaendelea kuongezeka za mastar wa duniani kumwagana na vimbwanga vya hapa na pale haya kwa dada yetu Rose mambo yameshaharibika jamani, Rose ndugu yangu mkemee shetani wa kuvuruga mauhusiano yako na kumbuka una mtoto weye na  mtoto kulelewa na baba mwingine sio vizuri, please  muombane msamaha yaishe...

No comments: