welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday 2 September 2014

OFISI YA MKEMIA MKUU YATOA TAARIFA YA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2013 NCHINI


Kushoto ni  Mkuu wa kitengo cha Jinai Kemia, Elias Mulima pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi na Makosa ya Jinai na Vinasaba, Gloria Omary wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakimsikiliza Gloria Omary alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo.…Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kupitia maofisa wake, leo imetoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo uliopo Posta jijini Dar es Salaam.

No comments: