welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday 2 September 2014

Nahodha Mpya Wa Timu Ya Taifa Ya Ujerumani

Bastian-SchweinsteigerBaada ya timu ya taifa ya Ujerumani kutwaa ubingwa wa dunia kwenye kombe la dunia 2014 nohodha wake Philip Lahm alistaafu soka la kimataifa.Baada ya hatua hiyo kocha wa Ujerumani Joachim amemteua nahodha mpya wa timu hiyo ambaye ni kiungo wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger na msaidizi wake akiwa ni Manuel Neur. Mpaka sasa Bastian ameichezea timu yake ya taifa mara 100 toka mwaka 2014.

No comments: