welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 3 September 2014

MTALAKA WA NORA ASAKA WENYE SHEPU


Stori: Imelda Mtema
Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ‘Nora’, Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Luqman anayemiliki kampuni iitwayo QV, alisema ameamua kuanzisha kundi la sanaa ambalo ni la kisasa kabisa ambalo litakuwa likiandaa filamu mbalimbali zitakazosaidia ajira kwa vijana.
“Kwa sasa nasaka watu ambao naweza kufanya nao kazi za filamu kupitia kampuni yangu na tutakuwa tunatoa filamu zetu, nawasaka wadada wenye muonekano mzuri, hata wababa na watu wazima kwa ajili ya kuendeleza sanaa yetu,” alisema Luqman.

No comments: