
Usiku wa
kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staa wa Filamu Bongo, Rose
Ndauka, kwani aliweza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na baadhi ya
mastaa wenzake waliyofurika ndani ya Hoteli ya Collossium iliyopo maeneo
ya Kamata Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment