Chemba ya majitaka ikiwa imefurika baada ya kuzidiwa uwezo wake na kusababisha kumwaga
maji hayo yaliyokuwa yakitoa harufu kali katika Barabara ya Mwai Kibaki, Mikocheni A, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam jana na kusababisha kero kwa watumiaji wa
barabara na wakazi wa eneo hilo, kufuatia mvua zilizonyesha jijini. (Picha na Fadhili Akida)
No comments:
Post a Comment