welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 22 February 2016

Rihanna asitisha ziara kubwa ya dunia,sababu na anachoumwa, viko hapa

rihanna-richie
Rihanna na uongozi wake wamesitisha ziara kubwa ya Rihanna ‘ANTI’ iliyotakiwa kuanza hivi karibuni.
Hivi karibuni Rihanna alishindwa kufanya show kwenye tuzo za grammy huku sababu ikitajwa kuwa ni matatizo ya koo na sauti na kwamba daktari alimpa saa 48 nakumpumzisha sauti yake.

Rihanna alitakiwa kufanya show kwenye tuzo za grammy na angeimba wimbo mpya wa “Kiss It Better.”.
Uongozi wa Riri unasema anasumbuliwa na gonjwa la bronchitis.
bronchitis-lg
Rihanna anategemewa kutengeneza pesa nyingi zaidi kwenye ziara yake hii zaidi ya ziara yake ya mwaka 2013 ya “Diamonds World Tour” aliyoingiza dola milioni $140. The Weeknd  na Big Sean watakuwepo kwenye ziara ya Riri.

No comments: