welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 22 February 2016

Hutoamini,Hichi kiasi cha pesa alicholipa Davido kufanya collabo na Meek Mill.

Davido.jpg 9
Mwimbaji kutoka NIgeria Davido ameweka wazi kuwa alimlipa Meek Mill ili afanya naye collabo ya ‘Fans Mi’.
Davido amefanyiwa interview na jarida la Fader toleo la February/March 2016 nakuthibitisha kuwa alimlipa rapa kutoka Marekani Meek Mill kiasi cha dola laki mbili ‘$200,000’ ili kufanya naye wimbo wa “Fans Mi”. Pesa hizi nikama 436490000 za Kitanzania.

Davido
Hizi ni picha za Davido kwneye jarida la FADER.
davido 2  Davido.jpg 3 Davido.jpg 4 Davido.jpg 5 Davido.jpg 6 Davido.jpg 7

No comments: