welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday 1 December 2014

MSICHANA WA KAZI ALIYEMPIGA MTOTO AFUNGUKA MAZITO!


Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambapo amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo baada ya jana kumuomba samahani mtoto huyo. Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe

ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake kutompatia pesa ili amtumie baba yake ambaye alikuwa anaumwa.

No comments: