welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday 1 December 2014

ALICHOKIANDIKA WEMA SEPETU KUFUATIA DIAMOND KUITOA KIMASOMASO TANZANIA!



It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’,
awamu hii ameitwa ‘kaka’.“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa akizifuatilia.

No comments: