welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday 17 October 2014

WATOTO WA SHILOLE WAMPA MTIHANI NUH MZIWANDA!


Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’ 
Akiongea na Power Jams ya East Africa Radio, Nuh amesema watoto hao wanampenda.

“Watoto wananiita uncle,” amesema Nuh. “Nafurahi nikiamka asubuhi ‘uncle good morning’, yaani fresh, ‘uncle maji ya kuoga’. Ni watoto lakini wananipenda, wana love kwangu. Kuna kazi nakuwepo mimi hata sifanyi, nikitaka maji ya kuoga wananiwekea maji ya moto. Nikiamka asubuhi chakula naona wananiwekea. Kama Joyce ni mkubwa kidogo so anaelewa, ananifanyia kila kitu uncle wake. Mimi nawapenda na wao wananipenda pia.” 
Nuh aliiambia Bongo5 kuwa ana mpango wa kumuoa msanii huyo.

No comments: