welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 11 March 2015

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA MAFINGA IKILIHUSISHA BASI LA MAJINJA NA LORI LA MIZIGO, WENGI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

Taarifa tulizopokea muda huu na ambazo hazijathibitishwa kuwa Basi la Majinja Limepata ajali eneo la Mafinga likitokea Mbeya na inahofiwa watu wengi kupoteza maisha. chanzo mpaka sasa inasemekana ni Lori lilikuwa
linakwepa mashimo ,
na ndipo likagongana uso kwa uso na Basi hilo Taarifa kamili na Tukio katika Picha zitafuata mara baada ya kupata uhakika kamili endelea kufuatilia hapa, Tayari Kikosi kazi cha Blogs za Mikoa kipo eneo la tukio.

No comments: