welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 26 November 2014

WEMA SEPETU KWA CHAMELEONE DIAMOND PLATNUMZ KWA ZARI THE BOSSLADY NDANI YA UGANGA TAR 18


Katika hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewachanganya zaidi pale walipoamua kupromote show za mahasimu wawili wa Uganda,Wema akiwa kwa Dr. Jose na Diamond akiwa kwa the bosslady Zari,show ambazo zitapigwa tarehe moja lakini kumbi tofauti,ni kati ya show za gharama kuwahi kufanyika Uganda. na kua show za gharama Dr Jose na Zari ni mafahali wawili nchini humo hivyo siku hiyo watu wanasubiri waone ni wapi kutabamba sana,iliwahi kutokea hapa kwetu ambapo mwana FA alifanya show ya kuzindua album tarehe sawa na Lady Jaydee ambapo inasemekana Lady Jaydee alikamata mashabiki wengi kuliko mwana FA,lets wait tuone mwisho wa hizi Drama LOL.

No comments: