welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday 21 November 2014

SKENDO CHAFU YA USAGAJI YAMPONZA VAI WA UKWELI!

Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
MSANII wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na ndugu kumtenga wakimhusisha na skendo ya usagaji.
Akichonga na paparazi wetu, Vai alisema amekuwa akiumia na kukosa raha kwani kila kona anayokatiza anaitwa msagaji kutokana na kuwa na mashosti wengi wenye katabia hako, jambo linalomfanya atengwe. 
“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.

No comments: