welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday, 21 November 2014

MAMBO HADHARANI! A-Z KUHUSU BILIONEA ALIYEKUFA AKIWA NDANI YA GARI BUKOBA!

Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huuambapo imeelezwa kuwa marehemu ambaye ni baba wa familia, kabla ya kupatwa na umauti, alikutwa ndani ya gari yake aina ya IST lenye namba za usajili T. 982 CQG akifanya mapenzi na mchepuko wake aliyetajwa kwa jina la Jackline Hassan (25) maeneo ya Buyekere mjini Bukoba.


KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, \ mkanda mzima huu hapa. Mwili wa marehemu, Leonard Mtensa ukitolewa hospitali ya mkoa wa Bukoba kupelekwa nyumbani kwake kuzikwa siku ya leo. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio marehemu ambaye anamiliki Klabu ya Linas, alidaiwa kunywa pombe kali aina ya Whisky Bond pasipo kula vizurihuku akisumbuliwa na tatizo la presha hivyo wakati akifanya yake ndani ya gari, ghafla presha ilipanda, akaanza kutapatapa

No comments: