welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 12 November 2014

JANGA JINGINE LAMKUTA EMMANUEL MBASHA, INADAIWA KAFICHA HABARI KUHUSU MFANYAKAZI WAKE ALIYEJINYONGA NDANI KWAKE.


Majanga yanazidi kumuandama aliyekua mme wa muimbaji maarufu Frola Mbasha, akiwa bado ana kesi mahakamani akidaiwa kumbaka ndugu yake hili ndio janga jingine lilimkuta Emmanuel Mbasha. Janga hilo ni la kufariki kwa mfanyakazi wake wa ndani ambae alijinyonga ijumaa iliyopita.


Inadaiwa kua Emmanuel na mfanyakazi huyo walikua wakiishi wawili tu ndani ya nyumba ya Emmanuel, lakini kitu cha kushangaza zaidi ni pale mfanyakazi huyo alipojinyonga. Inavyosemekana Emmanuel hakutoa taarifa kwa majirani kuhusu tukio hilo badala yake alitoa taarifa polisi na kisha kuusafirisha mwili wa marehemu kwa siri sana kwenda kumzika Singida.

No comments: