welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 26 November 2014

BAADA YA BIFU LA MDA MREFU DIAMOND PLATNUMZ ATOA OFFER YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEFMwaka 2012 kuliiuka na beef kati ya q chillah na diamond platnumz, na ilikua inaonekana kuwa Chillah ndiye mwenye tatizo na diamond kwa sababu kabla Diamond alikua anamtaja chilla kama moja kati ya wasanii waliomu inspire kuingia ndani ya game ya bongo flava, lakini baadae Q chief akaanza kumtuhumu diamond kuwa anampiga mitishamba na kuchukua nyota yake
Inataka kujua beef hiyo imeisha vipi? 255 ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa bongo flava angekua anafanya vizuri mpaka leo?
Ndipo alipojibu Q-Chief na kuwa anamkubali coz anajua kuimba na ana miziki ambayo watanzania wanaipenda sana na akaongezea kwa kumpa ofa ya kumlipia video na kushoot ngoma ambayo anaamini itawatoa

No comments: