welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday, 31 October 2014

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento wa Bongomovie afariki dunia.

1
Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia usiku wa kuamkia jana.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba  ambazo  ni Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k.
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

No comments: