welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 16 October 2014

MENGINE YAIBUKA KUHUSU MISS TANZANIA 214


Miss Tanzania Huyo ambae awali wadau wengi walisema shindano la Mwaka huu limekuwa laki pekee kutokana na mshindi huyo Kwanza Kuongea Kifaransa wakati wa kujibu maswali, Pili umri wa Miss Tanzania kutajwa kuwa ana Miaka 23 ilhali Mama yake anasema ana Miaka 29, Huku Baba yake akisema ana miaka 18 na yeye mwenye akisema ana Miaka 18 huku kituko kingine kikitajwa kuwa katika Shindano hilo Ni Miss Pekee Kuvaa Gauni la Kwendea Kwenye Send Off....
..Sasa Na Jana hiyohiyo Ikatokea picha nyingine inayomuonyesha Miss Huyo ambae inasemekana ana miaka 18 akiwa katika Picha ya Pamoja na Mwanae wakati wa Sherehe ya Mahafali yake huko Ng'ambo Kwa Obama...Mtoto huyo anayeaminika kuwa ni wa Miss Tz 2014 ana umri wa Miaka 8 sasa hapa umri umeendelea Kumtesa Miss Tz 2014 kuwa Miss wa Kwanza Kupingwa na Asilimia 100 ya Watanzania Wote
NA LUKAZA

No comments: