welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday, 7 October 2014

Hizi Picha,Mtoto Wa Michael Jackson Achagua Upande Wa Floyd Mayweather

prince-jackson-tmt-akmgsi-3Wanasema kama kuna mtu anajua kuchezea pesa zake kama Floyd Mayweather basi ni mtoto wa Michael Jackson ‘Prince Michael Jackson. Kijana huyu ameonyesha kupenda zaidi kupenda upande wa Floyd ambao ni “The Money Team” Prince Michael Jackson amepamba gari yake na chata za “The Money Team” na kujiunga na watu maarufu kama Warren Buffett, Justin Bieber na Lil Wayne.

No comments: