welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 8 October 2014

FNB YAKABIDHI MADAWATI NA MADARASA BAADA YA KUYAFANYIA UKARABATI

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto)  akikata utepe  kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi  Msasani  B,  Bw.Victor  Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati  pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule  hivi karibuni jijini Dar as Salaam.
 Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi  Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya FNB Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani B wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa,  madawati na mikoba ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam

No comments: