welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday 21 September 2014

MAN UTD YACHAPWA 5-3 NA LEICESTER

Esteban Cambiasso (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao Leicester dhidi ya Manchester United.
TIMU ya Manchester United imepokea kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Leicester mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Uwanja wa King Power leo.
Wafungaji wa Leicester katika mechi hiyo ni Ulloa (2), Nugent na Cambiasso, Vardy wakati ya Man United yakifungwa na Van Persie, Di Maria na Herrera.

No comments: